Ufugaji wa asili ni ufugaji ambao hufanyika katika maeneo huru kwa kuzingatia utaalamwa wa asili.Aina ya ufugaji huu umekuwa ukiwasaida jamii kubwa ya watanzania kitika kufanya shughuli
za kimaisha shughuli hizo ni kama vile kugharamia huduma za
matibabu,chakula na mavazi,kugharamia huduma za elimu na shughuli
nyinginezo.
No comments:
Post a Comment